D DILA COSTER Member Joined Dec 11, 2019 Posts 6 Reaction score 2 Dec 11, 2019 #1 Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni hii muda wowote +255788067437 Asanteni
Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni hii muda wowote +255788067437 Asanteni
C copernicucci98 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 1,232 Reaction score 2,381 Dec 11, 2019 #2 DILA COSTER, Mkuu Kisesa unauza kiwanja cha ukubwa huo kwa hiyo bei? Ebu elezea potentiality ya eneo lako. Ni kama ume-triple bei ya kuanzia. Waiting.
DILA COSTER, Mkuu Kisesa unauza kiwanja cha ukubwa huo kwa hiyo bei? Ebu elezea potentiality ya eneo lako. Ni kama ume-triple bei ya kuanzia. Waiting.
D DILA COSTER Member Joined Dec 11, 2019 Posts 6 Reaction score 2 Dec 11, 2019 Thread starter #3 copernicucci98 said: Mkuu Kisesa unauza kiwanja cha ukubwa huo kwa hiyo bei? Ebu elezea potentiality ya eneo lako. Ni kama ume-triple bei ya kuanzia. Waiting. Click to expand... Ni kikubwa kama ukionavyo na eneo limeisha jengeka lote kimebakia chenyewe tu ila usiogope Sana bei. Unaweza kuongea ulichonacho na tutajadiliana kama kuna uwezekano. Asante.
copernicucci98 said: Mkuu Kisesa unauza kiwanja cha ukubwa huo kwa hiyo bei? Ebu elezea potentiality ya eneo lako. Ni kama ume-triple bei ya kuanzia. Waiting. Click to expand... Ni kikubwa kama ukionavyo na eneo limeisha jengeka lote kimebakia chenyewe tu ila usiogope Sana bei. Unaweza kuongea ulichonacho na tutajadiliana kama kuna uwezekano. Asante.
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,709 Dec 11, 2019 #4 kimepimwa? kina hati? siyo open space & soko? Km ngapi toka barabara kuu?
D DILA COSTER Member Joined Dec 11, 2019 Posts 6 Reaction score 2 Dec 11, 2019 Thread starter #5 papason said: kimepimwa? kina hati? siyo open space & soko? Km ngapi toka barabara kuu? Click to expand... Kimepimwa upimaji shilikishi kina beacon pande zote nne... Na Kuna barabara imayo Kuja mpaka kiwanjani
papason said: kimepimwa? kina hati? siyo open space & soko? Km ngapi toka barabara kuu? Click to expand... Kimepimwa upimaji shilikishi kina beacon pande zote nne... Na Kuna barabara imayo Kuja mpaka kiwanjani