Kiwanja kinauzwa kipo tabata segerea

Kiwanja kinauzwa kipo tabata segerea

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
ni kiwanja kizuri kikubwa kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa. KIPO TABATA SEGEREA PLOT NO..... INA OFFER MIDIUM DENSITY RESIDENTIAL PLOT SIZE 690 SQM. kimezungushiwa ukuta na kimejengwa msingi kwa ajiri wa ujenzi wa nyumba ya kisasa. picha ya eneo nitaweka kesho. kwa maelezo zaidi ( havilla Real Estate Agent 0755 099 291 , 0686 200 117, 0657 14 5555.)Thomas
 
Weka na bei ya kuanzia
 
wee dalali weka bei za bidhaa zako hapa mambo ya kupigiana simu ili tujue bei yeshapitwa na wakati...biashara matangazo mauzo bei...naamini umenielewa.
 
ni kiwanja kizuri kikubwa kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa. KIPO TABATA SEGEREA PLOT NO..... INA OFFER MIDIUM DENSITY RESIDENTIAL PLOT SIZE 690 SQM. kimezungushiwa ukuta na kimejengwa msingi kwa ajiri wa ujenzi wa nyumba ya kisasa. picha ya eneo nitaweka kesho. kwa maelezo zaidi ( havilla Real Estate Agent 0755 099 291 , 0686 200 117, 0657 14 5555.)Thomas
Weka bei ili kuwafanya watu wajishughulishe au watulize Ball, kwa mfano mimi nina M10 Kwenye account yangu kwa kutokuweka bei sijui kama nipo kwenye level ya kukaribia bei au nipo nje kabisa niendelee na shuguli zangu
 
sawa bei yake ni $ 50,000.00
 
$50,000 x Tshs 1,600/$ = Tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??

Haitapita miaka miwili itaanzishwa mamlaka ya kusimamia na kupanga uuzwaji wa nyumba , viwanja na upangishaji! Kama tutakuwa tunakwenda na utaratibu huu!!:A S 41::A S 41:
 
ngoja niagize nyama ya ........ nipate akili!!! ww dada lete kama tulivyo!!!!!!!!
 
Mhhh kwakweli inatisha maana miaka kadhaa ijayo hata mabenki patakuwa hapatoshi kwa nafasi maana mihela itazidi.Ikiwa omba omba anajaribu kuhesabu mia mia au mia tano kumbe wengine wako ktk trilion mhh tofauti ni kubwa sana.
 
$50,000 x Tshs 1,600/$ = Tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??

Medium Density halafu U$ 50,000.00 labda chini yake kuna almasi!!!!!

Kwelo Bongo kuna watu hawana uelewa kabisa!!!!!

Labda uwe Mkulo ndiyo utanunua kiwanja kama hicho maan hutakiwa na uchungu na hiyo hela.
 
sawa bei yake ni $ 50,000.00

Mkuu hiko kiwanja kipo texas Marekani au hapo segerea?hebu nieleweshe vizuri manake bei uliotaja inatisha.Kwani bei ya serikali ni sh ngapi?
 
Medium Density halafu U$ 50,000.00 labda chini yake kuna almasi!!!!!

Kwelo Bongo kuna watu hawana uelewa kabisa!!!!!

Labda uwe Mkulo ndiyo utanunua kiwanja kama hicho maan hutakiwa na uchungu na hiyo hela.
690 Sqm @ Tzs 10,000/- = 6.9Mil
Gharama nafuu za ujenzi 58Mil
Fundi labda 15Mil
 
$50,000 x tshs 1,600/$ = tshs 80,000,000/=.
Kina nini cha ziada hicho kiwanja??

we unayeuza hiki kiwanja acha ujinga,kwanza hakina plot number hiyo current uliyoweka ni ya nchi gani tuwekee ya kwetu watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom