juma kinyogoli
Member
- Sep 13, 2016
- 5
- 2
Ukubwa wa kiwanja SQM 400 kina hati miliki halafu kipo pazuri sana sehemu imetulia. Umbali kutoka barabara kubwa ya kawawa road mita 150. Panafaa kwa kujenga lodge au apartments. Bei tshs 180 mil.
Kwa maelezo zaidi na mawasiliano piga no hii : 0759 510 593
Kwa maelezo zaidi na mawasiliano piga no hii : 0759 510 593