Kiwanja kinauzwa kipo boko mbweni

Kiwanja kinauzwa kipo boko mbweni

conquer

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
53
Reaction score
16
Kina ukubwa wa ekari mbili na nusu, bei maelewano.Kwa mawasiliano piga no 0718 908594
 
muwe mnaweka bei ili kuvutia wateja ata kama bei inapungua just be open.
 
maelewano ya bei gani??,.

Mbona unafanya biashara kwa mashaka mashaka mkuu!!
 
Ungeweka angalau bei ya kuanzia ingeleta mvuto zaidi wa kufanya biashara. Vipi kuhusu mafuriko maana boko ipo katika hali tete.
 
post your ads for free and sell faster!

visit: "www.dalali .co.tz"

We nawe kila siku unapost hii website yako,hivi unajua haina kitu cha maana ikifunguka inaleta vitu visivyoeleweka
 
ukiona bei haiwekwi humu ujue ni bei ya juu.lakini hiyo sio biashara.biashara inataka ujiamini bwana,sio unaweka vitu nusunusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom