Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.

Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • 23eb060c-fa8c-423d-abff-8a56e70c0e90_0_watermark.jpeg
    23eb060c-fa8c-423d-abff-8a56e70c0e90_0_watermark.jpeg
    218 KB · Views: 20
Ebu muachage utani kwenye mambo ya msingi aiseeee.....☹️
Gharama itahusika ndio kiwango gani cha pesa...🤔
Ebu kuwa clear, kiwanja kina hati ama karatasi la mauziano..??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom