yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,361 299 Dec 22, 2015 #1 Kiwanja kinauzwa dege Kigamboni, kina ukubwa wa mita 40*50, kiko takriban mita 80 kutoka main road. Bei ni milion 7, 0713806766.
Kiwanja kinauzwa dege Kigamboni, kina ukubwa wa mita 40*50, kiko takriban mita 80 kutoka main road. Bei ni milion 7, 0713806766.
V viking JF-Expert Member Aug 23, 2012 2,163 1,308 Dec 22, 2015 #2 Taarifa haijakamilka ,kimepimwa , kina hati ?
jembelamkono JF-Expert Member Nov 19, 2015 2,733 2,011 Dec 22, 2015 #4 Muuzaji,kiwanja kina hati au ni squater?