Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Mjimwema - Kibugumo

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Kiwanja kipo kigamboni mjimwema-kibugumo.
· umbali toka ferry ni km 8.5
· umbali toka main road (barabara ya rami) ni meter 250.
· ukubwa wa kiwanjani 24m*23m
· umeme upo na barabara ya gari ya mtaa kwenye kiwanja ipo.
· umbali kwenda beach ni km 1 opposite na south beach.
Bei milioni 9 maongezi yapo for serious buyer calls 0716805201. Kiwanja hakina mgogoro wowote.
 
Attachments

  • IMG-20150414-01749.jpg
    IMG-20150414-01749.jpg
    383.8 KB · Views: 380
Kiwanja kipo kigamboni mjimwema-kibugumo.
· umbali toka ferry ni km 8.5
· umbali toka main road (barabara ya rami) ni meter 250.
· ukubwa wa kiwanjani 25m*28m.
· umeme upo na barabara ya gari ya mtaa kwenye kiwanja ipo.
· umbali kwenda beach ni km 1 opposite na south beach.
· kiwanja kipo karibu na zahanati ya kibugumo.
Bei milioni 14 maongezi yapo for serious buyer calls 0716805201. Kiwanja hakina mgogoro wowote.
 
Attachments

  • IMG-20150407-01689.jpg
    IMG-20150407-01689.jpg
    278.1 KB · Views: 385
mgusi mukulu, sijui kwa wengine ila naona kama kwa hayo maelezo na sifa za hicho kiwanja kama bei ndogo vile?
 
Last edited by a moderator:
mgusi mukulu, sijui kwa wengine ila naona kama kwa hayo maelezo na sifa za hicho kiwanja kama bei ndogo vile?
yaahh bei ni kawaida ili kuweka wepesi wa mnunuzi na muuzaji ukiweka tamaa sana utakwamisha biashara na kuweka migogoro isiyo ya lazima kati ya mnunuzi na muuzaji au dalali mwenyewe. Na jukumu la kumlipa dalali ni mwenye kiwanja mwenyewe si mteja labda atoe asante tu akifanikiwa kununua plot bila matatizo yoyote kujitokeza pia hivi ni viwanja vya skwata bei ni tofauti na vile vyenye title deed au offer ambavyo kwa square meter 700 kibada ,tuangoma au mikwambe au geza au dege na kisarawe ,unaweza kupata kwa mil 20-45 inategemea na ukubwa pia , japo hivi vipo kwenye mtaa na sehemu ambayo barabara zipo za mtaa na umeme na huduma za jamii pia .
 
Mgusi mkulu nakuamini.
Napenda sana mfumo wako wa matangazo yako.
Kwa maeneo hayo bei ni rahisi sana,maana hapo hadi kutengeneza hati ni kama 17 - 18m.
Ukijenga nyumba ya kupangisha hapo unakula pesa tam kweli.
 
Leo Mgusi umeamua leo.
Nakuaminia sana mkuu,issue zako huwa hazina longolongo.
Maana wengine wananadi tu viwanja bila picha kwa uoga wao.Ila wewe unafunguka ili mtu apate uhalisia wa eneo husika.
Very impressed,nikiwa sawa nitakutafuta kwa issue kama hiyo ila karibu ya beach
 
Poa kaka mkubwa hakuna tatizo. Nipo kwa ajili ya wananchi.
 
yaahh bei ni kawaida ili kuweka wepesi wa mnunuzi na muuzaji ukiweka tamaa sana utakwamisha biashara na kuweka migogoro isiyo ya lazima kati ya mnunuzi na muuzaji au dalali mwenyewe. Na jukumu la kumlipa dalali ni mwenye kiwanja mwenyewe si mteja labda atoe asante tu akifanikiwa kununua plot bila matatizo yoyote kujitokeza pia hivi ni viwanja vya skwata bei ni tofauti na vile vyenye title deed au offer ambavyo kwa square meter 700 kibada ,tuangoma au mikwambe au geza au dege na kisarawe ,unaweza kupata kwa mil 20-45 inategemea na ukubwa pia , japo hivi vipo kwenye mtaa na sehemu ambayo barabara zipo za mtaa na umeme na huduma za jamii pia .

Nina kiwanja changu Dege kimepimwa sijaanza kuprocess hati sababu nakiuza ili atakaye nunua apate hati kwa jina lake

Kipo mita chache Kutoka baharini, unaingia kushoto pale kwenye mradi wa NSSF then unaenda Ndani kama km 2 mbili hivi. Kipo karibu kabisa na hiyo barabara inayoingia kushoto kwenda baharini

Kina ukubwa wa sqm 1006, nakiuza kwa 17M, tafuta mteja ukimpata commission yako ni 1M.
 
Kiwanja kipo kigamboni mjimwema-kibugumo.
· umbali toka ferry ni km 8.5
· umbali toka main road (barabara ya rami) ni meter 250.
· ukubwa wa kiwanjani 24m*23m
· umeme upo na barabara ya gari ya mtaa kwenye kiwanja ipo.
· umbali kwenda beach ni km 1 opposite na south beach.
Bei milioni 9 maongezi yapo for serious buyer calls 0716805201. Kiwanja hakina mgogoro wowote.

Mwisho wa siku watu wanaishia kukoment ambacho hakikusaidii,pia peleke hilo tangazo lako na picha zoomTanzania, kupatana au jibane uweke tangazo kwenye gazeti,itakusaidia humu JF waswahili wengi na hawana chochote na watakupotezea muda tu!Wachunge hao madalali Zanzbar spices, Xfactor wao wakati wote wana chuki na biashara za wengine!
 
Nina kiwanja changu Dege kimepimwa sijaanza kuprocess hati sababu nakiuza ili atakaye nunua apate hati kwa jina lake

Kipo mita chache Kutoka baharini, unaingia kushoto pale kwenye mradi wa NSSF then unaenda Ndani kama km 2 mbili hivi. Kipo karibu kabisa na hiyo barabara inayoingia kushoto kwenda baharini

Kina ukubwa wa sqm 1006, nakiuza kwa 17M, tafuta mteja ukimpata commission yako ni 1M.
Weraaa dili hilo madalali,au ndio vile vilitolewa na Bank kwa mkopo?
Hembu sema umbali wa km ngapi kutoka kwa bahari
 
Mwisho wa siku watu wanaishia kukoment ambacho hakikusaidii,pia peleke hilo tangazo lako na picha zoomTanzania, kupatana au jibane uweke tangazo kwenye gazeti,itakusaidia humu JF waswahili wengi na hawana chochote na watakupotezea muda tu!Wachunge hao madalali Zanzbar spices, Xfactor wao wakati wote wana chuki na biashara za wengine!

Hahahaha,mkuu najua lazima utanisukumizia mie.Mie sio Dalali.
Uliza mtu yoyote humu sijawahifanya nae biashara,labda ndugu yangu atake au mie mwenyewe.Nitakuwaje Dalali wa huko mie nipo Zanzibar.
Najua unarejesha dongo,haya kazi njema Dalali mtanashati
 
Weraaa dili hilo madalali,au ndio vile vilitolewa na Bank kwa mkopo?
Hembu sema umbali wa km ngapi kutoka kwa bahari

Hapana sio hivyo ila vimepakana na hivyo vya mradi wa world bank, ukiamaliza viwanja vya benki ya Dunia ndio vinafuata ambavyo vilipimwa na watu binafsi, ni chini ya km 1 kutoka baharini
 
Mwisho wa siku watu wanaishia kukoment ambacho hakikusaidii,pia peleke hilo tangazo lako na picha zoomTanzania, kupatana au jibane uweke tangazo kwenye gazeti,itakusaidia humu JF waswahili wengi na hawana chochote na watakupotezea muda tu!Wachunge hao madalali Zanzbar spices, Xfactor wao wakati wote wana chuki na biashara za wengine!

Ndugu mimi sio Dalali na wala sipo Tanzania, hicho Kiwanja ninachokiuza ni mali yangu
 
Mgusi mukulu na wee ni Wa huku huku!?? Karibu home mjimwema kibaoni
 
Hivi nikitaka kujua uhalali wa kiwanja pasipo kufika site natakiwa kufanya nini? ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom