Kiwanja kinauzwa kibamba mji mpya

Mbikiboy

Member
Feb 15, 2019
90
86
Kiwanja kina ukubwa wa 22×20 kipo Kibamba Hospital mtaa wa Mloganzila(Mji Mpya).Bei yake ni 5.5M.Maji ya Dawasco yapo karibu na yanatoka 24/7 na umeme ni wa kuvuta kwenye nguzo, pia kuna umbali wa 2km toka Halimashauri ya Ubungo na 2km mpaka Hospital ya Mloganzila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom