MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Hapana mkuu,hiyo nyumba ipo nje ya kiwanja hicho kinachouzwa.Nimeamua kupiga picha muone majirani waliopo msijeona kipo porini sana.Mkuu hiyo nyumba inapakana na kiwanja au?
Sorry,yes inapakana na kiwanja.Mkuu hiyo nyumba inapakana na kiwanja au?
Si nimeandika maelewano yapo mkuu,ama hujaona?kwa skwata 15 m ni kubwa mno kaka unless kiwe kimepimwa.
Hakijapimwa mkuu!Kimepimwa?
Haha!6 hailipi mkuu,no offence.Hapo sio porini+bei iliyowekwa hapo ni karibu sawa na bei za viwanja vyote maeneo hayo.Hiyo 20x50 si unapata viwanja 2 vya 20x25 hapo wajameni?mnh million kumi na tano nyingi,mie nina sita lol
Haha!6 hailipi mkuu,no offence.Hapo sio porini+bei iliyowekwa hapo ni karibu sawa na bei za viwanja vyote maeneo hayo.Hiyo 20x50 si unapata viwanja 2 vya 20x25 hapo wajameni?
Sorry jamani,hiyo siyo miguu(ft) hizo 20x50 ni mita namaanisha!Pia ukubwa wa kiwanja unatia shaka 20x50ft ni vyumba viwili tu hapo.Ingekua mita sawa.
Sorry,hizo ni mita.Duuuuuh 20ft ni approx. 6m. Hicho ni kiwanja au uchochoro?