Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias.

Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias.

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Eneo lina ukubwa wa acre 1, lipo poa sana.. Lipo 3 km kutoka morogoro road, lipo karbu n huduma zote za kijamii kama shule, hospitali, maji na barabara pia.... Lipo pia katika location nzuri ya kuanzisha biashara.. Maana kuna kambi mbili za jeshi around na pia lipo karbu na shirika la TATC.
PRICE. 28mil.
Contacts kwa serious buyer. 0767879784
Tumlack@gmail.com.
 
Kambi ya jeshi?!!! Yasije yakawa ya Gongo la mboto na Mbagala 🙊
 
Amna mkuu... Hzo kambi hazina mambo kam ya gongo la mboto.
 
weka picha mkuu maana maeneo hayo unayosema kuna mgogoro na kambi ya jeshi mi sitaki nije kupigwa mitama na hao wajeda
 
Hamna mgogoro mkuu... Ngoja badae kdogo ntaweka picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom