Kiwanja kinauzwa kibada

Kiwanja kinauzwa kibada

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
37,430
Reaction score
108,444
Kiwanja moja ya viwanja vilivyopimwa na serikali, sqm 804, kina hati, kipo barabarani, bei 70m

Maelewano yapo.

0659445718
 
Ni eneo lililopimwa na serikali, hati ipo, hakuna wasi wala shaka.. Bei mazungumzo tuu
 
Samahani mkuu ni 70M au 7M let assume square meter = 10,000 kwa square meters hzo = 8M hyo nimeassume kutokana na eneo la kibada
 
Jamaa ajasoma alama za nyakati hela sasa hivi zipo za halal hakuna za longolongo
 
Samahani mkuu ni 70M au 7M let assume square meter = 10,000 kwa square meters hzo = 8M hyo nimeassume kutokana na eneo la kibada
We ndio unavyojua km sqm 1=10,000 au sio.. Kaangalie tena, ukipata jibu njoo..

Ulipitia hatavuthamin wa uvumba kidogo!!?
 
Jamaa ajasoma alama za nyakati hela sasa hivi zipo za halal hakuna za longolongo
Mkuu usihangaike, hatufanani vipato, haimaanishi sasa hiv tanzania nzima mambo magumu, ila wale waliokuwa wanapiga pesa kijanja janja yawezekana ikawa ngumu. Wapo watu wanaendelea kuangusha majumba kila siku..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom