Kiwanja kinauzwa kibada kina sqm 2,145

Kiwanja kinauzwa kibada kina sqm 2,145

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja kinaukubwa wa Sqm 2,145. kipo kibada block 11. plot .. , kina Title deed ya miaka 99 iliyotolewa 2010.
kina umbali wa .1km kutoka barabara kuu. kinauzwa Tsh. 33m . kwa anayetaka kuona copy ya title na kuenda kuona kiwanja tuwasiliane 0657145555 Akiri
 
mkuu nakitaka chukua 15mn za fasta
 
Jamani tumeshusha bei kidogo , pesa inahitajika haraka tumeshuka mpaka 30m. kila ki2 kipo njooo tukaone site ukalipie . kwenye malipo mutaongea kama yote au mafungu. karibu
 
" pesa inahitajika haraka"

Huu usemi umekuwa kama quatation ya kila tangazo lako.

How many KM kutoka ferry kigamboni?
 
" pesa inahitajika haraka"

Huu usemi umekuwa kama quatation ya kila tangazo lako.

How many KM kutoka ferry kigamboni?
is there any problem ? 11km
 
kiwanja bado kipo tuwasiliane kwa mnayehitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom