Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Ndio afafanue mm nakiitaji biashara lazima iwe inaeleweka na ukiulizwa swali jibu swali ili wateja waelewe
Beach ipi ww kijana kule kwa husen mwinyi au mana kule hakuna kiwanja cha milioni kumi labda uwe unauza lile eneo la daraja la malechela
Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jfKawe beach kuna viwanja vya 10mils? Eneo lile karibu na mwinyi ni eneo la Tanganyika packers.
Ndio namshangaa huyu kijana anataka kuja kufanya utapeli wake humu jf