Kiwanja kinauzwa Kawe Dar es salaam

Kiwanja kinauzwa Kawe Dar es salaam

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
Kiwanja kinauzwa kipo kawe dar bajet mil 10 ad ishirini ina depend na ukubwa wa kiwAnja unachokiitAj wasiliana nami Apa wekeza Ardhi ndio dili 0719474102
 
Kiwanja kinauzwa kipo kawe dar bajet mil 10 ad ishirini ina depend na ukubwa wa kiwAnja unachokiitAj wasiliana nami Apa wekeza Ardhi ndio dili 0719474102

Hivi ukiweka ukubwa wa kiwanja wenye kuambatana na bei ni dhambi?
 
Kiwanja kinauzwa kipo kawe dar bajet mil 10 ad ishirini ina depend na ukubwa wa kiwAnja unachokiitAj wasiliana nami Apa wekeza Ardhi ndio dili 0719474102

Hivi kwa nini usitulie; ukatengeneza tangazo zuri lenye kujitosheleza??? unauza kiwanja au viwanja??
 
Kawe ipi unayoongelea usuje uzia watu viwanja vya NHC
 
Hivi ukiweka ukubwa wa kiwanja wenye kuambatana na bei ni dhambi?
KiwAnja n kikubwa sana inategemea na saiz ya kiwanja unachoitAj for more info fika kawe eneo la tukio ujionee
 
Kijana acha kuudanganya umma wa watanzania kwa kawe hakuna kiwanja cha mil 10 labda sehemu ya kujengea choo utapata kwa bei hiyo. Pia jifunze kukamilisha tangazo lako najua madalali wengi wa kawe elimu yao darasa la saba kama omar mrangi na wengineo
 
Bora mkuu umuulize mana viwanja vyote ngonyani alishauza sijui anataka kutuunzia eneo la msikiti wa ukwamani
 
Mtoa mada,dalali kanjanja usiingize watu mjini,kawe ipi unauza hivyo viwanja vya 10mils? Au unataka uuze Tanganyika packers kwa gwajima? Usije uza lile pori la bondeni eneo la jeshi.
 
Mkishindwana na huyo njooni huku MBEZI LOUIS, 3 km kutoka Morogoro rd km unaelekea Goba!
Viwanja vi3 kwa pamoja, Umeme ushafika, bara bara inaendelea kuwekwa lami kutokea TANGI BOVU - GOBA na GOBA -MBEZI.
25*25 bei ni Tshs 11m
26*26 bei ni Tshs 13m
27*27 bei ni Tshs 15m

Hakuna dalali!
Kuviona ni week end, Jmosi ama Jpili, hakuna gharama!
 
Beach ipi ww kijana kule kwa husen mwinyi au mana kule hakuna kiwanja cha milioni kumi labda uwe unauza lile eneo la daraja la malechela
 
Mtoa mada,dalali kanjanja usiingize watu mjini,kawe ipi unauza hivyo viwanja vya 10mils? Au unataka uuze Tanganyika packers kwa gwajima? Usije uza lile pori la bondeni eneo la jeshi.

Acha kuchafua biashara ya mtu!!!kawe ni kubwa na sio uko unakowaza ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom