Kiwanja Kinauzwa Ilemela -Mwanza

Kiwanja Kinauzwa Ilemela -Mwanza

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,731
Wakuu nimekwama nauza kiwanja changu

Kipo Mtaa wa Magaka Kata ya Kahama katika manispaa ya Ilemela

Sifa za kiwanja:-
[emoji117]Kimepimwa

[emoji117]Ukubwa ni hatua 20 kwa 24(Urefu na upana)

[emoji117]Kipo hatua chache kutoka barabara kuu

[emoji117]Kipo hatua chache kutoka ofisi za Manispaa ya Ilemela na za wilaya ya Ilemela

[emoji117]Huduma za maji na umeme zipo karibu na kiwanja

Bei ni milioni 6 tu na mazungumzo yapo

Mwenye kuhitaji njoo PM nikupe mawasiliano uje ukione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko porini 6m khaaa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom