Kutoka MOMBASA had MAJOHE ni mwendo wa dk 20 had nusu saa hivi.
Kuhusu suala la eneo hilo kupitishwa bomba la SONGAS sijapewa taarifa yoyote,ninachojua ni kwamba tetesi hizo zinahusisha eneo lililo mbali na hapo.Kiwanja kipo jirani na eneo lililotengwa na serikali kwa ajili ya makaz ya watu waliohamishwa toka Kipawa,sidhan kama wanaweza kuwahamisha tena wakat wengne hawajamaliza kujenga.Miundombinu na huduma zote za jamii kamavile barabara,umeme,maji,huduma za afya na shule vinakamilishwa kwa ajili ya wakaz hao.