Kiwanja kinauzwa GOBA (Tegeta A)

Kiwanja kinauzwa GOBA (Tegeta A)

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
 
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
0713008926

Hapo kwenye red panahitaji ufafanuzi!

Unaingilia Mbezi Mwisho unakata kulia, afu kiwanja kiko Tegeta LOL
 
kiwanja kinauzwa tegeta a,
ukubwa 30 x 20,
mahali pazuri (neighbourhood),
unaingilia mbezi mwisho unakata kulia,
bei 5mil (maongezi yapo),
dalali hatakiwi,
0713008926

je kina hati miliki ????????????
 
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
0713008926

Vp maswala ya hati na kila kitu?
 
Hati kwa maana ya kupimwa? hiyo hapana, maendeo yale hayajapimwa, but kina hati ya serikali ya mtaa kuthibitisha uhalali wake
 
walau bei inatamkika, mwanzo mzuri wenye vijisenti wahini tafadhali.
 
Hicho kitakuwa hakijapimwa. Bei iko poa wahini wajameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom