Mkuu usiwadanganye watu, hilo eneo lote limechukuliwa na manispaa ya Ubungo hakuna anayeruhusiwa kuendekeza chochote haposalaam,
kiwanja kinapatikana goba mbele kidogo ya saisai (njia nne).
kipo upande wa kulia kama unaelekea mbezi mwisho (Louis)
umbali kutoka barabara ya lami ni meter 600.
ukubwa wa kiwanja ni sqm 625 (25*25)
na ni tambarare chote.
N. B huduma muhimu (maji, umeme na barabara) zote ziko vizuri
contact : 0756 832833
Bei : 16m (neg) View attachment 871960View attachment 871962View attachment 871963View attachment 871965View attachment 871967
Eneo limepimwa? kuna hati miliki?salaam,
kiwanja kinapatikana goba mbele kidogo ya saisai (mtaa wa tegeta A)
kipo upande wa kulia kama unaelekea mbezi mwisho (Louis)
umbali kutoka barabara ya lami ni meter 600.
ukubwa wa kiwanja ni sqm 625 (25*25)
na ni tambarare chote.
N. B huduma muhimu (maji, umeme na barabara) zote ziko vizuri
contact : 0756 832833
Bei : 16m (neg) View attachment 871960View attachment 871962View attachment 871963View attachment 871965View attachment 871967
mkuu mi nakaa huko najua kila kinachoendelea, sio vzr nione watu wanatapeliwa naangalia tusi dhambi ukikaa kimya kama hujui si lazima kujifanya mjuaji.
mkuu mi nakaa huko najua kila kinachoendelea, sio vzr nione watu wanatapeliwa naangalia tu
kwanin atapeliwe? kununua kiwanja au nyumba si kama unavyonunua simu mzee.mkuu mi nakaa huko najua kila kinachoendelea, sio vzr nione watu wanatapeliwa naangalia tu
Mkuu eneo lote hilo limepimwa na manispaa wenyewe sio yale makampuni ya upimani. Nenda manispaa kawaombe ramani ya hapo watakupaEneo limepimwa? kuna hati miliki?
Mkuu eneo lote hilo limepimwa na manispaa wenyewe sio yale makampuni ya upimani. Nenda manispaa kawaombe ramani ya hapo watakupaEneo limepimwa? kuna hati miliki?
Ungemjibu kwa fact kuliko mipasho ingependeza zaidi.si dhambi ukikaa kimya kama hujui kuliko kujifanya wew ndiye unayefahamu zaidi.
unajua exactly location ya kiwanja kilipo?Mkuu
Mkuu eneo lote hilo limepimwa na manispaa wenyewe sio yale makampuni ya upimani. Nenda manispaa kawaombe ramani ya hapo watakupa
Mkuu eneo lote kuanzia ile barabara zinapoingilia daradara za kwenda TEGETA A hadi tegete A na kurudi na mwipopo road hadi njia nne then ufuate rami kupitia hapo saisai hadi njiapanda ya tegete A, eneo lote hapo katikati limechukuliwa na manispaa ya Ubungo kwaajili ya ujenzi wa hospital,stand ya kisasa, bank, kituo cha polisi na solo. Nenda manispaa watakupa mpango wote wa pale na ramani yakeunajua exactly location ya kiwanja kilipo?
tuelimishe kwa faida ya wengi mkuu
natanguliza shukrani zangu.
eneo lipo mbele ya sheli mpya ya ATN kama unakuja mbezi mwisho. ni kama km 2.5 kutoka njia nne hapo mpaka kwenye kiwanja.Mkuu eneo lote kuanzia ile barabara zinapoingilia daradara za kwenda TEGETA A hadi tegete A na kurudi na mwipopo road hadi njia nne then ufuate rami kupitia hapo saisai hadi njiapanda ya tegete A, eneo lote hapo katikati limechukuliwa na manispaa ya Ubungo kwaajili ya ujenzi wa hospital,stand ya kisasa, bank, kituo cha polisi na solo. Nenda manispaa watakupa mpango wote wa pale na ramani yake
Mkueneo lipo mbele ya sheli mpya ya ATN kama unakuja mbezi mwisho. ni kama km 2.5 kutoa njia nne hapo mpaka kwenye kiwanja.
wew unazungumzia kwenye round about ya kuja madale na tegeta A Katikati kwenye lile pori nadhan.
Uko ndani ya huo mpango kakanjiapanda ya goba mpakani kule mbali sana ukitoka sheli ya ATN mbele kidogo kuna sheli nyingine upande wa kulia.