kiwanja kinauzwa futi60-60 sh.milioni4 na laki 3.

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
nauzakiwanja kipo vikindu- mkuranga,kipo umbali wa robo km1 kutoka Barabara kuu. eneolinafaa kwa makazi au fremu za biashara. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167.
 
hicho ni kiwanja cha 20 meters kwa 20 meters mkuu... bei kubwa sana kwa mkuranga
 
kama ni mnunuzi wa ardhi kwa hiliutaelewa, Kiwanja kipo Mjini kabisa miaka inapozidi dhamani ya ardhi inapanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom