Ni sehemu nzuri kwa nyumba ya kuishi. Udongo sio mfinyanzi.Kiwanja Kilicho pimwa kina ukubwa wa 626 Dodoma. Kipo karibu na Barabara ya kwenda Iringa ( Cha tatu toka barabarani). Bei sh. Milloni tano.
Ni sehemu tambarare, sio mlimani.Ni sehemu nzuri kwa nyumba ya kuishi. Udongo sio mfinyanzi.