Kiwanja
hiki kinapatikana nyuma ya jengo jipya la BOT mtaa wa idara ya maji
barabra ya kwenda UDOM,BEI MILIONI 200,KWA MAWASILIANO tafadhali ni
PM,tazama site PLANN katika attachment ni kiwanja no 5.
Kwa wale wasiojaaliwa kununua kiwanja nadhani inaanza kufikia kikomo kwa mtu wa kawaida kuwa na uwezo wa kununua.Kama bei ni milioni 200!!!!!!!!! wajemeni ni hatari.Haya bana.....