kiwanja kinauzwa chamanzi mbande karibu kabisa na azam complex.kiwanja kipo mahali pazuri mita chache kutoka bara bara ya lami kuna bara bara za mitaa hadi kiwanjani.umeme maji vipo ,ni sehemu iliyojengeka.Vizuri kimpangilio wa mitaa kiwanja kina ukubwa mita 20 upana na mita 20 kwa urefu. Bei ni milioni 13 tunaweza kuzungumza kwa unafuu wa bei. Basi wasiliana nami kwa simu no: 0716822166 , au,0783298957.karbu chamanz mbande.