Kiwanja kinauzwa - Bunju

Kiwanja kinauzwa - Bunju

Una master plan ya maeneo hayo?bunju eka 1 kwa 3m?????isije ikawa shamba la bilali limevamiwa
 
The boss unaitaji ekali ngapi we tuwasiliane tuu,
ureni ukitembebea kwa miguu toka barabarani ni like 30m tuu
bongolala tunayo hati ambayo inalipiwa ardhi kila mwaka ilo kwa iyo usiofu.
Ukiitaji paona we tuwasiane tuu ni eneo safi sana sana tuu...... Email yangu ni apo juu
 
1 eka 3m?? Bunju??

Isije kuwa shamba la boss wa takukuru

yote yanawezekana we amini, usiofu ati ipo,
kings of kings inaonekana helaa sana we tufanye kwa wewe eka
tutakuuzia m8 izi unaonaje apo?
 
Nimeshakwenda na muuzaji mmoja pale Baobab aliniambia heka laki 8. Nikaenda na pesa pamoja na land officer wa Bagamoyo muuzaji akakimbia so JF PEOPLE be careful.
 
P/se niachie eka moja nategemea kuwa mkopaji wa kwanza kwenye jf saccos, please i am serious do not ignore my request.
 
ahsante mkuu kwa kutujuza, tafadhali naomba pia uweke nambako ya cim kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom