Mkuu mimi ninavyo maeneo ya mpiji darajani "akijapimwa" (upana 25mita*Urefu 40mita) na kingine (70*28=60milioni).1km from Bagamoyo Road,maji na umeme yapo tayari.Bei 25mil.0754856277Unabaki gani toka Barbara iendayo bagamoyo. Sema exactly kilipo Na kama kimepimwa