Kiwanja kinauzwa Block 41

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,328
7,774
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa hapo block 41 karibia na biafra.

Nimetumiwa msg nami naiscreenshot hapa ili nisijeonekana dalali,

Kwa wanaotumia simu najua picha haitafunguka, details ni kuwa

Eneo ni mita za mraba 351, kina documents zote muhimu., jamaa anataka mil 240, ila mazungumzo yapo.

Mawasiliano, hapa nahusika, nipigie mwenyewe 0719 429 913

IMG_20160516_113239.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom