Kiwanja kinauzwa bei poa - kiko tegeta

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Sifa zake, kiko tegeta madale kwa mbopo , kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni mil 14 maelewano yapo.For more info nichek 0713532322
 
Sifa zake, kiko tegeta, kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni mil 14 maelewano yapo.For more info nichek 0713532322

Too good to believe.
Bei nzuri,mahali pazuri, ukubwa mzuri, hati zipo. It sounds like a win win win situation for a buyer...
 
Tegeta ipi?
usije ingiza watu mkenge
weka na picha basi

Hahahahahahahaha umenikumbusha jamaa aliyekuwa anauza kiwanja chake akisema kiko km. 60 tokwa Mwenge, kumbe kiwanja kiko Bagamoyo. Na wengine wanaweka matangazo kiwanja kiko Kigamboni km. 20 toka Ferry, kumbe kiko Mwongozo au Mbutu huko.
 
Hiki hakipo Tegeta
Tegeta 30 kwa 25 vinaanzia milioni 20
sasa huyu eti 45 kwa 70 anaanzia 14 sidhani kama ni kweli
Kerege tu Bagamoyo viwanja vinaanzia 20 mil..
 
Hiki hakipo Tegeta
Tegeta 30 kwa 25 vinaanzia milioni 20
sasa huyu eti 45 kwa 70 anaanzia 14 sidhani kama ni kweli
Kerege tu Bagamoyo viwanja vinaanzia 20 mil..

Ndio maana nikasema too good to believe.
Kiwanja cha design hiyo kisingekuwa na haja ya kukitangaza JF kwa sababu mteja wa kwanza kusikia tu angekinunua.
 
Acheni utomaso wadau kama we kweli mnunuaji just nichek then nikuunganishe na huyo anayekiuza hati zote zipo na sijajua haswa bei za uko tegeta maana kama viwanja vya uko ni bei hizo mlizonitajia,hapo basi mnanifungua nipandishe bei.
 
Tegeta kubwa
kuna kibaoni.chanika,
madale ,basihaya na kadhalika
hii tegeta ipi?
 
Acheni utomaso wadau kama we kweli mnunuaji just nichek then nikuunganishe na huyo anayekiuza hati zote zipo na sijajua haswa bei za uko tegeta maana kama viwanja vya uko ni bei hizo mlizonitajia,hapo basi mnanifungua nipandishe bei.
Upandishe bei kivipi wakati umesema siyo chako?
are you a genuine dealer/realtor?
 
mi si ndiye ninayetangaza hata mwenye kiwanja akisema anauza bei flani lakini kama yeye anauza bei rahisi si naweza nikamshauri aongeze....kwa anayehitaji kiwanja chenyewe kipo Tegeta,madale kwa mbopo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom