Kiwanja kinauzwa bei 1.5m

Kiwanja kinauzwa bei 1.5m

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja kinauzwa kipo gogo la mboto kituo kipya darajani kina urefu wa miguu 25 X 25 , hakijapimwa . kipo karibu kabisa na barabara . umeme maji vipo , bei 1.5milioni

tuwasiliane:
0657145555 au 0685 31 23 26
 
Mmmh hapa hi kitu mbona ipo more than cheap then karbu na barabara eeeh
 
Mmmh hapa hi kitu mbona ipo more than cheap then karbu na barabara eeeh
hakuna kitu kilichojificha , bali ni kwamba eneo hili halijapimwa hivyo nyumba za msongamano kama inavyojulikana kwa maeneo yasiyopimwa. ni karibu na daraja la msimbazi . kuna watu wengi wamejenga ni kizuri kwa watu walio na kipato cha wastani , unaweza jenga nyumba na maisha yakaendelea
 
Back
Top Bottom