Kiwanja kinauzwa Bagamoyo.

Kiwanja kinauzwa Bagamoyo.

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
393
Reaction score
278
Kiwanja kipo njia ya kwenda Marian School kima hati. Kinauzwa milioni 8. Hakuna mtu wa kati. Karibu.
 
Tetesi kiwanja kinauzwa...umejuaje kina hati na hakuna mtu wa kati??
 
Umeshajua kama hakitapitiwa na mradi wa gesi kutoka Ntwara, umeshajua kama pia bomba la maji la DAWASCO halitapita hapo.Ukitoa majibu ya maswali hayo mawili wanunuzi utawapata bila wasiwasi nasema hivo maana viwanja vya kuanzaia TEGETA, BOKO, BUNJU na huko huko Bagamoyo ni janga la taifa.
 
Labda mama watoto ndio anapanga kuuza ndio maana ni tetesi.
 
Waungwana nitatoa taarifa mnazozihitaji punde baada ya kutoka kwenye foleni. Nakiri kuandika uzi usiku nikiwa nimechoka mwili na akili. Kwa kuanza mie mwenyewe ndo nauza na hakina walakini wala kashkash yeyote hapo baadae. Imetokea ninae viwili eneo hilo na nina shida kidogo na hela ya ghafla. Habarini za asubuhi.
Nawasilisha.
 
Maelekezo:
Kiwanja kipo 1Km kushoto ya Paradise hotel kutokea mjini. Kina ukubwa wa ekari moja. Hakuna program yeyote itakayopita huku zaidi ya kuwa jirani na project ya ihi na nyumba za wafanyakazi wake. Ni eneo lilotengwa kwa makazi. Hii inaenda kwa 6M. Kwa serious buyers PM tizungumze uzuri na kwa wale wanaopenda kaa DSM nje ya mji ninae kiwanja maeneo ya Majohe. Bado najifikiria kuuza hii 79X20 Block A No 79. Nishawishi.
Kwako ni tetesi, PM upate ukweli juu ya tetesi umesikia.
Nawasilisha wakuu. Au niweke na cooy za makaratasi?
 
Unaweza uka attach picha huku ukionyesha jirani zako miundombinu umeme,barabara zimefika hadi kwenye kiwanja? Unauza 8 au 6? Je kipo block na plot namba gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom