Kiwanja kinauzwa Arusha

Kiwanja kinauzwa Arusha

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
597
Reaction score
162
Kiwanja kinauzwa Arusha, maeneo ya Kisongo Sokoni, karibu kabisa na barabara. Bei nafuu kabisa, pana nyumba za tope mbili.

Mawasiliano 0764 759 314 (mwenye kiwanja)..
 
nauza kiwanja maeneo ya arusha kisongo karibu name soko la kisongo mita 160 kutoka barabara kuu ukubwa 20*20 hakina mgogoro pananyumba 2 zatope kwa salsa kunawapangaji.. tuwasiliane 0764 759 314
 
maelewano yapo Nina shida yakifamilia ndio maana napauza Niko mwanza kimakazi
 
nyumba nakiwanja kinauzwa kisongo pembeni ya soko LA kisongo ukubwa 20*20 mita 150 toka bara bara kuu bei 10mil. tuwasiliane 0764759314
 
nyumba nakiwanja kinauzwa kisongo pembeni ya soko LA kisongo ukubwa 20*20 mita 150 toka bara bara kuu bei 10mil. tuwasiliane 0764759314


Weka picha mkuu
 
Kiwanja kinauzwa Arusha maeneo ya Kisongo sokoni mita 160 toka bara bara kuu iendayo Manyara ukubwa 20*20 pana nyumba mbili za tope panawapangaji kwa sasa.

Kwa anayehitajii

0764 759 314
 
Nauza nyumba mbili za tope, ziko Arusha Kisongo karibu kabisa na Soko la Kisongo, mita kama 160 kutoka barabara kuu iendayo Babati..

0764 759 314
 
nauza kiwanja chenye nyumba mbili za tope arusha kwa salsa zinawapangaji Wanalipa 15000 kwa mwezi vyumba vipo 8 kipo kisongo sokoni mita 160 toka barabara kuu iendayo babati .

0764759314
 
Back
Top Bottom