Kiwanja kinauzwa 6.5m


😀😀😀
 
Hili sasa si jiwe la gizani tena.
Nimejifunza kitu, asante
 
Vyuma vikibana utajua tu, hata topics za JF muelekeo wake unakuwa wa vyuma kubana kubana tu.

Halafu hapo hapo watu wamechokaa, unaambiwa "uchumi umekua kwa asilimia 7"
 
Mi UOTE="Kiranga, post: 26716094, member: 13377"]Vyuma vikibana utajua tu, hata topics za JF muelekeo wake unakuwa wa vyuma kubana kubana tu.

Halafu hapo hapo watu wamechokaa, unaambiwa "uchumi umekua kwa asilimia 7"[/QUOTE]
Ni kipindi cha Mpito, Nina Imani muda si mrefu kila kitu kitakuwa sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…