golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Simu inasumbua, mara ukiweka inakata, vipimo ni 20/20m. Uwanja Una hati ya serikali ya mtaaMzee wa Usafiukizeeka 26545041 said:Mzee weka vipimo vya kiwanja basi. kina hati au offer?
Achana na huo ujinga wa kusomesha watoto shule ambazo huzimudu. Wema usizidi uwezo.Nauza Kiwanja changu, Ada ya watoto kwenda kumalizia muhula imeanza tena kusumbua
Hii inaitwa ngumu kumesa.Achana na huo ujinga wa kusomesha watoto shule ambazo huzimudu. Wema usizidi uwezo.
Kama mambo sio poa, wahamishie watoto kwenye shule za gharama nafuu na hata ikiwezekana shule za serikali. Usipo angalia utauza kila ulicho nacho kisa watoto ambao hata wanaweza wasije kuwa na manufaa na wewe kwenye uzee wako.
Usisikilize sana mke. Wanawake huwa wana pressure na kutamani vitu vilivyo nje ya uwezo. Ukifanya hivyo, utazeeka kabla ya umri wako na huyo mwanamke atakukimbia na kwenda kuburudishwa na dogo dogo.
Achana kabisa na hivyo vitu. Ishi ndani ya uwezo.
Chanika mwisho, mbele ya kwa Mzeru, kama unaenda Kwa Muhongo na MpangoHiyo ni Chanika IPI?
mkuu je pale kwa mpango unafika au nyuma yake?Chanika mwisho, mbele ya kwa Mzeru, kama unaenda Kwa Muhongo na Mpango
Mkuu nimekuelewaAchana na huo ujinga wa kusomesha watoto shule ambazo huzimudu. Wema usizidi uwezo.
Kama mambo sio poa, wahamishie watoto kwenye shule za gharama nafuu na hata ikiwezekana shule za serikali. Usipo angalia utauza kila ulicho nacho kisa watoto ambao hata wanaweza wasije kuwa na manufaa na wewe kwenye uzee wako.
Usisikilize sana mke. Wanawake huwa wana pressure na kutamani vitu vilivyo nje ya uwezo. Ukifanya hivyo, utazeeka kabla ya umri wako na huyo mwanamke atakukimbia na kwenda kuburudishwa na dogo dogo.
Achana kabisa na hivyo vitu. Ishi ndani ya uwezo.
Kwa Mpango ni mbali sana,Jembekillo said:mkuu je pale kwa mpango unafika au nyuma yake?
Nashukuru kwa kunielewa. Hata mie nilikuwa mtu wa stress huko nyuma. Ila baada ya kufata hii approach, siku hizi huwa nalala kama mtoto mchanga. Sina stress.Mkuu nimekuelewa