Kiwanja kinauzwa 20x19 Pugu Kajiungeni-Dar

Pandamlima

Senior Member
Feb 27, 2013
143
195
Wadau nauza kiwanja changu kipo pugu kajiungeni unashuka kituo cha seremala..panafikika na gari, umeme upo nyumba ya jirani ,,huitaji nguzo,,ni sehemu tayari watu wamejenga na wanaishi

ukubwa ni 20x19 miguu bei 3,000,000

mawasiliano 0719-575791

Asanteni
 

19don

JF-Expert Member
May 13, 2011
672
250
hicho kipimo cha miguu yakwako? ya mnunuzi au mjumbe maana nataka nitafute mtu kama hashim thabit aje anipimie ili tufanye biashara upo tayari (jokes)

mdau weka katika vipimo sahihi futi au metre iwe rahisi kutambua ukubwa wake
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,340
1,225
Nitaimiss sana hii saga. Episode 2 inaanza lini?

Nakumbuka msg ya Zitto kumalizia majumuisho. Aliposema kuhusu mama yake nilisisimka mwili mzima.
Kweli vita ni vita
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom