KIWANJA KINATAFUTWA

KIWANJA KINATAFUTWA

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Natafuta kiwanja maeneo ya mabwepande, Goba, Msumi au Dar es salaam kwa ujumla.
Offer ni m6
Nipigie kwa 0716605136
Kama wewe ni tapeli; usijaribu kupiga simu
 
Mkuu kiwanja kipo Mapinga,Mpiji Darajani mtaa wa Mingoi-Bagamoyo.Kipo njiani na maji DAWASA na umeme tayari.
Urefu mita 30 na upana mita15.
Bei:7 milioni
Angalizo:mkataba utaandikishwa popote unapotaka wewe.
Simu:0784151762
 
Kipo kingine Toangoma kwa mil.5, kama uko willing niambie tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom