Erick B
Senior Member
- May 25, 2017
- 107
- 81
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m) gari aina zote zinaingia fresh . ukubwa kama mita 30 kwa 20. bei kwa mwezi laki 3(300,000) pamoja na room zake 2 na kiwanja maongezi yapo kidogo. karibuni. nchek 0746669203 au 0719706327.