Kiwanja Kinakodishwa Arusha

Kiwanja Kinakodishwa Arusha

Erick B

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
107
Reaction score
81
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m) gari aina zote zinaingia fresh . ukubwa kama mita 30 kwa 20. bei kwa mwezi laki 3(300,000) pamoja na room zake 2 na kiwanja maongezi yapo kidogo. karibuni. nchek 0746669203 au 0719706327
 

Attachments

  • IMG-20171115-WA0010.jpg
    IMG-20171115-WA0010.jpg
    108.8 KB · Views: 19
  • IMG-20171115-WA0012.jpg
    IMG-20171115-WA0012.jpg
    120.5 KB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom