Habari zenu wakuu
Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....
kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...
Bajeti yangu ni mil 7 tu....

duh budget yako ndogo sana nilitaka nikupe kiwanja cha serikali 1700 squarea metre kwa 16000 per sq metre about 1 km from main roadHabari zenu wakuu
Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....
kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...
Bajeti yangu ni mil 7 tu....
acha uvivu piga hesabu kwa hizo squarea metre nilizokupaKipo maeneo gani na unakiuza sh ngapi mkuu?
Mbande ndo maeneo gani mkuu?
mbagara unapita uwanja wa azam,kiwanja kizuri mchanga unachomba hapo hapo,kinaangaliana na road ya mtaa,pia kunadispensari karibu,shule ya msingi,kiwanja kipo tambarare tu na kisafi wewe ukinunua hupati kazi ya kusafisha,ukiitaji ni pm ili ukakicheki kama utakua teyari,
Huko mbali sana mkuu....
piga hesabu hapo 16000*1700=27, 200, 000 mlnKipo maeneo gani na unakiuza sh ngapi mkuu?
piga hesabu hapo 16000*1700=27, 200, 000 mln
Huko mbali sana mkuu....