Kiwanja kinahitajika haraka maeneo salasala au Kinzudi

Kiwanja kinahitajika haraka maeneo salasala au Kinzudi

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
liwe karibu na barabara kuu na magari yawe yanafika kwa urahisi kuwe na umeme na maji, ukubwa angalau kuanzia nusu heka hadi heka moja. Nitafute 0689315582
 
Ninacho 20*20 goba kuelekea kwa temu 3km toka barabara ya tanroad kipo kinaface barabara ya mtaa. Mtaa umepangika vizuri Umeme upo karibu. Bei mil9 0755 64 33 24
 
Ninacho salasala kinaukubwa wa sqm 1700 mmiliki amejenga Nyumba 2 jirani na kiwanja kinachouzwa, majirani wanamjua, anaishi Segerea, anafanya kazi katika taasisi flani. Bei ni 55m,meza ya mazungumzo iko wazi. kiko kwenye hatua za mwisho kwa upimaji.
 
Ninacho salasala kinaukubwa wa sqm 1700 mmiliki amejenga Nyumba 2 hapo hazijaisha,majirani wanamjua, anaishi Segerea, anafanya kazi katika taasisi flani. Bei ni 55m,meza ya mazungumzo iko wazi. kiko kwenye hatua za mwisho kwa upimaji.

Mkuu hapo parefu sana ambachk ni kimoja chenye hati na sqm zianzienzie 900 kwenda juu, na pia siitaji chenye nyumba kabisa nataka kiwanja nianze mwenyewe from the scratch....
 
nauza kiwanja kina nyumba ya kurekebisha ina umeme maji yapo kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara goba st.joseph(kunguru) ukubwa wa eneo 20*25! 23M neg... ni pm am da owner!
 
Kipo cha square meters 800 Salasala-Kinzudi kwa bei ya 12m
 
Mkuu vipi bado kipo?

Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa square mita 800, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 12.
0769 222 882
Pia twaweza zungumza kwa wale wa sqr mita 400.
 
liwe karibu na barabara kuu na magari yawe yanafika kwa urahisi kuwe na umeme na maji, ukubwa angalau kuanzia nusu heka hadi heka moja. Nitafute 0689315582

Kaka kuna kiwanja mbagala charambe. Ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom