Hati ya wizara au serikali ya mtaaKwa uhitaji wa viwanja Chanika.
Cheki na uyu ndugu +255716304101
Viwanja vimepimwa.
Unaenda site, unakagua ukiridhika unalipia ukimaliza malipo unapata hati yako saafii.
Hati ya wizara au serikali ya mtaaKwa uhitaji wa viwanja Chanika.
Cheki na uyu ndugu +255716304101
Viwanja vimepimwa.
Unaenda site, unakagua ukiridhika unalipia ukimaliza malipo unapata hati yako saafii.
Tajiri naona huchezi mbali na issue za viwanja inaonekana uko interested sanaUmubwa gani na bei ikoje?
Mambk ya kusema urithi kwa watoto ni elimu umeshapitwa na wakati. Sasa urithi ni viwanja tuuTajiri naona huchezi mbali na issue za viwanja inaonekana uko interested sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu ..... ukipata uwezo wa kununua , nunua vingi kadri ya uwezo wako mbeleni ndo utakuja ona faida yakeMambk ya kusema urithi kwa watoto ni elimu umeshapitwa na wakati. Sasa urithi ni viwanja tuu
Ukipata chenye size hiyo, kwa bei hiyo, niite mbwa, nimekaa pale kajiungeni
ukipata kwa bei hii, nakuongezea 2m
Yan unasema kigamboni!kimbiji apati kwa bei yake na ukubwa anaotaka
Bei hiyo hata Singida hupati
Square meter 750 huwezi kupata Kwa bei hiyo, tusisahau Chanika ni Dar es salaam.Kigamboni kimbiji kwa bajet yake ataishia kupata cha 20m×20m = 400sq yeye anataka cha 25m×30m= 750sq
Sent using Jamii Forums mobile app
Kununuwa viwanja si swala la urithi tu ni asset inayopanda thamani kila mwaka, mambo yakikukalia vibaya kimfaacho mtu chake unakipiga bei ya juu unamaliza shida zako.Mambk ya kusema urithi kwa watoto ni elimu umeshapitwa na wakati. Sasa urithi ni viwanja tuu
Mzeya kusema unapiga bei ya juu hiyo sio all the time. Mambo ya kuuza mie nayajua bro. Jtauza kwa bei ya juu kama huna shida. Lakini ngoma ya maisha imekubana kwenye plaiz, utauza kiwanja kwa bei ya kutupaKununuwa viwanja si swala la urithi tu ni asset inayopanda thamani kila mwaka, mambo yakikukalia vibaya kimfaacho mtu chake unakipiga bei ya juu unamaliza shida zako.
Whatsoever asset unauza unapokwama, hata dhahabu ni asset nzuri tu ukikwama unakwenda Kwa sonata uhindini inapimwa unapewa cash lakini bei ya gram inashuka kidogo.Mzeya kusema unapiga bei ya juu hiyo sio all the time. Mambo ya kuuza mie nayajua bro. Jtauza kwa bei ya juu kama huna shida. Lakini ngoma ya maisha imekubana kwenye plaiz, utauza kiwanja kwa bei ya kutupa
Sawa wacha tuanze kununa micheni sasaWhatsoever asset unauza unapokwama, hata dhahabu ni asset nzuri tu ukikwama unakwenda Kwa sonata uhindini inapimwa unapewa cash lakini bei ya gram inashuka kidogo.
Kwahiyo vijana mkipiga pesa muwe mnanunuwa cheni za dhahabu gram za kushiba na Pete, hivi ndio vitu rahisi ukikwama huumizi kichwa unaenda kumvulia muhindi unahesabiwa mpunga wako unasepa.
Vikindu barabarani nitafutie.Ingekua Vikindu ni Chap. Vikindu iko mbele ya Mbagala kabla ya kisemvule. Kiwanja cha 20 * 20 unapata kwa 1.6M. Vukubwa zaidi vipo pia na vidogo. Anayehitaji 0762815104
Unamaanisha kuangalia rami hivi ndio kiwanja unataka? bei inakuwa juu, Kisemvule Sasa hivi ni township Fulani hivi halafu route ya daladala kibao.Vikindu barabarani nitafutie.
Hata kisemvule center.
Pesa mfuko wa shati.
Yeah najua.Unamaanisha kuangalia rami hivi ndio kiwanja unataka? bei inakuwa juu, Kisemvule Sasa hivi ni township Fulani hivi halafu route ya daladala kibao.
Upo Bongo nikudirect umuone mtu physical?Yeah najua.
Ila hata mtaa wa pili au tatu.
Najuta niliikosa nafasi 2014 kisemvule. Wenzangu waliochukua wana frame za laki kwa mwezi 4m X 4m.
Na vyumba vya kupanga havikai sababu ya viwanda.
toka huko kwenye milioni mbili kama unataka kiwanjaKiwe maeneo ya Chanika, Majohe, Pugu, Ukonga na Mbezi
Ukubwa usipungue mita 25 kwa 30
Bei isizidi 2.5 milion.
Kwa yeyote mwenye koneksheni anijuze..
Hapana ila ukinipa directions kuna mtu atasawazisha kwa niaba.Upo Bongo nikudirect umuone mtu physical?
Njoo ata leo. 0762815104. Bei inaongezeka kulingana na eneoNjoo ata leondu barabarani nitafutie.
Hata kisemvule center.
Pesa mfuko wa shati.
Vikindu barabarani nitafutie.
Hata kisemvule center.
Pesa mfuko wa shati.
Kiwe maeneo ya Chanika, Majohe, Pugu, Ukonga na Mbezi
Ukubwa usipungue mita 25 kwa 30
Bei isizidi 2.5 milion.
Kwa yeyote mwenye koneksheni anijuze.