Kiwanja kinahitajika Bunju Shule

makedonia

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
4,365
Reaction score
3,657
Waungwana

Naomba kujua bei ya kiwanja kinachotosha nyumba ya kawaida tu ya vyumba vitatu na kuwe na nafasi ya ka-garden na parking na kiwe maeneo ya hapo barabarani katika eneo hilo la kanisa katoliki na shule.

Natanguliza shukrani.
 
nipe namba Pm nikuunganishe na madalai
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…