KIWANJA KINAHITAHIJIKA KIBAHA MAILI MOJA

KIWANJA KINAHITAHIJIKA KIBAHA MAILI MOJA

zugimlole

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,085
Reaction score
1,361
  • Kiwe maili moja kibaha
  • ukubwa kuanzaia 20*20 zaidi ya ho maelewano
  • kiwe kimepimwa au kipo kwenye mchakato wa kupimwa
  • bei tzsh,2,000,000
  • ambayo italipwa kwa awamu nne au tatu
  • mawasiliano 0789721326
 
  • Kiwe maili moja kibaha
  • ukubwa kuanzaia 20*20 zaidi ya ho maelewano
  • kiwe kimepimwa au kipo kwenye mchakato wa kupimwa
  • bei tzsh,2,000,000
  • ambayo italipwa kwa awamu nne au tatu
  • mawasiliano 0789721326
Mhhhh....Kama utafanikiwa kuonyeshwa angalau viwili ni PM nami nijinyakulie.Ila nachojua kwa Mailimoja ukipata hata ambacho hakijapimwa utauziwa kwa 10,000 kwa square metre.Kumbuka maji,umeme na barabara za ndani zinapitika kiurahisi na mradi wa barabara kutoka Kimara unaishia kibaha.Ila kama uko serious kweli kwa bei ya soko la Mailimoja tuwasiliane 0784 505171
 
Kwa bei hiyo angalia usije ukaingizwa mkenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom