469SQM, Chekeni Mwasonga, Kigamboni Karibu na Dar es Salaam Zoo, Tasaf Road. Ni 28KM unbali ukitoka Ferry. Njia zimechongwa zote, na Clean Tittle Deed, Hati miliki ya Wizara. Kina mandhari nzuri sana ya Makazi ya kisasa. Kinauzwa Kwa Dharula Bei Imeshuka hadi 6.7M Tshs. Tuwasiliane PM Twende ukaone. Halina Dalali, muhusika ni Mimi.