Ndio mita7 kwa mita25,nyumba nyingi za kawaida zinajengwa kwenye mita10 kwa 10,hiki kiwanja mtu anaweza kujenja frem6 au vyumba vya kupangisha hadi 6,bei ni sawa na bure kwani kwenye 1mil inapungua
Mleta post acha jazba.
Hata Wizarani ukienda kutengeneza upate hati kwa size hiyo hupewi.
Sasa unaposema kwamba ni size ya kujenga nyumba ya kuishi unadanganya.
Kuwa mkweli tu kwamba huo ni Uchochoro,maana maeneo ya Chanika kumekuwa na Migogoro mingi sana ya Ardhi pale wenye eneo wanapouza viwanja vyoye na kuisha,na wao pesa ikiwaishia wanarudi tena kuuza sehem za njia.
Hiki ndio unachokifanya.
Mie mwenyeji huko na nimejenga huko nimepangisha maeneo ya Lubakaya sio mbali na Stand ya mwisho,na nimekumbana na kadhia kama hii.Ni yale Maeneo aliyoacha Marehem mzee Pwagu.
Sehem ya kupita maji mtu kauza hadi njia iliyokuwa imewekwa kwa makubaliano.
Sema tu hapo unauza mgogoro na sio kiwanja,ufupi unauza njia
Kiwanja kimeuzwa tayari,hivyo haina haja kujadili muhitaji kutoka humu Jf amekuja amependa na amelipa laki9 cash,,ZANZIBAR SPICES UKIJA CHANIKA NITAFUTE,SIO LAZIMA KUJITAMBULISHA KWA ID YAKO,,nitafute as a friend
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.