Kiwanja Kibamba bei poa

Kiwanja Kibamba bei poa

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Kiwanja kinauzwa kibamba njia panda
karibu na kibamba mwisho
kiwanja kiko karibu na barabara ya morogoro
kiwanja ni tambarare
ukubwa 30*25
bei ni tsh 12mil
maongezi yapo
mawasiliano
0714812375
 
Mkubwa hiki kiwanja bado kipo na je kina hati miliki? Kama una namba ya whatsapp embu ni PM ili tuwasiliane kirahisi na kwa picha halisi. Ww ni mmiliki mwenyewe au dalali?
Asante
 
Mkuu ID yako kama naipata ivi... Kuna uhusiano wowote na mwaride?
 
Mkubwa hiki kiwanja bado kipo na je kina hati miliki? Kama una namba ya whatsapp embu ni PM ili tuwasiliane kirahisi na kwa picha halisi. Ww ni mmiliki mwenyewe au dalali?
Asante

kiwanja kipo...mmiliki ni ndugu yangu...
 
Mkubwa hiki kiwanja bado kipo na je kina hati miliki? Kama una namba ya whatsapp embu ni PM ili tuwasiliane kirahisi na kwa picha halisi. Ww ni mmiliki mwenyewe au dalali?
Asante

hakina hati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom