Kiwanja Kibada Kigamboni kinauzwa

Kiwanja Kibada Kigamboni kinauzwa

mancon

Senior Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
113
Reaction score
62
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 690, block 15, kibada kigamboni, kina title, kinauzwa TAS. 18mil, mtu wa kati hatakiwi
 
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 19mil, dalali hatakiwi, email kigamboni@hotmail.com
 
Huyu mwenyewe anaitwa Conman so watch out...buyer be aware..
 
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 690, block 15 kibada kigamboni kinauzwa, mwenyewe ana matatizo, tshs. 5mil, dalali hatakiwi.
 
Mbona unachanganya mambo?18m mara 19 mara ooh.....

Akija tena utaskia 20mil,
Nafkiri huu ni mnada.
Anakataa mtu wa kati kwa kua ye tayari ni mtu wa kati, so hapendi watu wa kati wawe wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom