Kiwanja cha title deed, na chenye ukubwa wa low density 961 sqm.
Bei; ni 12 mil ( negotiable )
CONTACT 0788293744,
Hicho kiwanja kipo block gani? Maana block nyingine Buyuni hazina barabara,pia ukubwa huo sio low density,ni high density au medium density!!
Buyuni ni kata iliyopo wilaya ya Ilala,kama Bunju ilivyo Kinondoni,sijaona tatizo maana ili ununue itabidi ufike site,kama ulitegemea Buguruni ukifika Pugu unageuza!! ahaaa.maelezo yako yana ukakasi, unaposema ilala mtu anajuwa ni ilala karibu na kariakoo pia jirani na buguruni.
huwezi kuuza kiwanja bunju ukatangaza kipo kinondoni.
Block gani?Umesema kweli mkuu. Viwanja ni vizuri sana, watu wamejenga nyumba nzuri ila barabara zmeharibika sana. Kwanza sababu ya maloli ya mchanga, pili mvua ya majuzi ndio imeharibu kabisa. Sijasikia diwani wala kiongozi yeyote akiongelea kuzikarabati barabara zile. Na kwa kweli sijui kama kuna viongozi kule
Block gani?
Nafahamu vizuri mi nipo huko,nauliza cha kwako kipo block gani?Block zote kuanzisha Italiani mpaka chini kabisa block 17 na 19. Main road ya toka Italiani kwenda Mbondole ni mahandaki matupu.
Nafahamu vizuri mi nipo huko,nauliza cha kwako kipo block gani?
Hicho kiwanja kipo block gani? Maana block nyingine Buyuni hazina barabara,pia ukubwa huo sio low density,ni high density au medium density!!
Mi block 10 na 8,ila block 10 barabara hazikuchongwa kabisa!Block seventeen kaka. Wewe Upo pande zipi?
Mi block 10 na 8,ila block 10 barabara hazikuchongwa kabisa!