Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Baada ya kufanya tathimini ya muda na kuweza kuangalia thamani ya bei katika eneo husika na kushauriana na familia yangu, tukaona ni vyema tupunguze bei kidogo ili niweze kuuza eneo langu hili.
Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh.
Maendeleo yamekwisha kufika ikiwemo maji, umeme na huduma nyingine za msingi halikadhalika zipo.
Bei ya heka moja inaanzia 22 milioni mazungumzo nakaribisha. Kama unahitaji nicheki PM