Kiwanja hekari 10 kinauzwa Singida

Sanjally

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
97
Reaction score
17
Wakuu kwema,
Kiwanja cha hekari 10 kinauzwa Singida eneo la
Mandewa karibu na hospitali ya rufaa, km 6 kutoka
round about iliyo karibu na uwanja wa peoples,kila
heka inauzwa milion 3, eneo limepimwa na linafaa
kwa ujenzi wa shule, msikiti, hotel, hospitali, kanisa,
kilimo n.k .
Wanaohitaji tuwasiliane kupitia no hii hapa
0762489597
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…