Kiwanja Goba

Kiwanja Goba

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Wakuu bado natafuta kiwanja maeneo ya Goba. Mwenye nacho anipm tafadhali. Budget yangu ni 3.5M

Asante
 
Mkuu kwa hiyo Bei Goba ni Ngumu kupata, labda uanzie m7 na kuendelea
 
Wakuu bado natafuta kiwanja maeneo ya Goba. Mwenye nacho anipm tafadhali. Budget yangu ni 3.5M

Asante

Mkuu ukimpata anayetaka kukuuzua kwa bei yoyote ile tafadhali nenda ukahakiki nyaraka zake za kumiliki hicho kipande cha ardhi...hati au letter of offer...kwenye ofisi ya Msajili wa Hati (kama ana hati) au ofisi ya Kamishna wa Ardhi (kama ana letter of offer) kwanza ndipo ufanye transaction. Mjini huku watu wanapigwa sana. Imewatokea watu ninaowafahamu roho inauma na tumejifunza kupitia makosa na si vyema kuona wengine wakipigwa wakati unaweza kuwaokoa kwa kiasi kikubwa. Pia, nimekwambia ukahakiki nyaraka nina maana kwamba usiende tu kuulizia mmiliki halali ni nani bali nenda ukajue uhalali wa nyaraka hizo hivyo nakushauri nenda na nyaraka original ikibidi na huyo anayedai ni mmiliki maana hatakubali kukuachia hati original uende nayo wewe mwenyewe. Kuwa makini mno maana matapeli wanakuja na njia mbalimbali za kuweza kukutapeli. Be very careful and may God guide you on this.
 
Sasa Wewe "Mla Vumbi wa Ukweli" Umeeongelea kwa Mazingira ya Viwanja vilivyopimwa. Je inakuwaje kwa Wale ambao wanauza Squater Plots!???
 
Mkuu ukimpata anayetaka kukuuzua kwa bei yoyote ile tafadhali nenda ukahakiki nyaraka zake za kumiliki hicho kipande cha ardhi...hati au letter of offer...kwenye ofisi ya Msajili wa Hati (kama ana hati) au ofisi ya Kamishna wa Ardhi (kama ana letter of offer) kwanza ndipo ufanye transaction. Mjini huku watu wanapigwa sana. Imewatokea watu ninaowafahamu roho inauma na tumejifunza kupitia makosa na si vyema kuona wengine wakipigwa wakati unaweza kuwaokoa kwa kiasi kikubwa. Pia, nimekwambia ukahakiki nyaraka nina maana kwamba usiende tu kuulizia mmiliki halali ni nani bali nenda ukajue uhalali wa nyaraka hizo hivyo nakushauri nenda na nyaraka original ikibidi na huyo anayedai ni mmiliki maana hatakubali kukuachia hati original uende nayo wewe mwenyewe. Kuwa makini mno maana matapeli wanakuja na njia mbalimbali za kuweza kukutapeli. Be very careful and may God guide you on this.

Nice advice
Will follow it definitely
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom