1 1975 Senior Member Joined Jul 9, 2009 Posts 131 Reaction score 18 Mar 31, 2014 #1 Nauza kiwanja pugu kinyamwezi shilingi milioni 4 kama mutu anatoa kwa awamu basi inabidi atoe 2500000 na nyingine iishe ndani ya miezi mitatu.kama utatoa cash basi 3700000 ukuba wa kwanja ni 27m *35m
Nauza kiwanja pugu kinyamwezi shilingi milioni 4 kama mutu anatoa kwa awamu basi inabidi atoe 2500000 na nyingine iishe ndani ya miezi mitatu.kama utatoa cash basi 3700000 ukuba wa kwanja ni 27m *35m
1 1975 Senior Member Joined Jul 9, 2009 Posts 131 Reaction score 18 Mar 31, 2014 Thread starter #2 Sorry nilisahau namba yangu ni 0786888824 au 0717031290
Sinywalulenga Muvina Senior Member Joined Jun 14, 2013 Posts 124 Reaction score 62 Mar 31, 2014 #3 Kiwanja kipo sehemu gani dar!
GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Mar 31, 2014 #4 1975 said: Sorry nilisahau namba yangu ni 0786888824 au 0717031290 Click to expand... kuna maji huko? Kuna umbali gani hadi barabarani?
1975 said: Sorry nilisahau namba yangu ni 0786888824 au 0717031290 Click to expand... kuna maji huko? Kuna umbali gani hadi barabarani?
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,074 Reaction score 9,735 Mar 31, 2014 #5 Tangazo la kienyeji nadhani kuna Umuhimu kuweka Jukwaa la Matangazo ya Kienyeji kama hili,halina miguu wala Kichwa...
Tangazo la kienyeji nadhani kuna Umuhimu kuweka Jukwaa la Matangazo ya Kienyeji kama hili,halina miguu wala Kichwa...
1 1975 Senior Member Joined Jul 9, 2009 Posts 131 Reaction score 18 Mar 31, 2014 Thread starter #6 Kiwanja kipo Pugu kinyamwezi