kiwanja Chenye Nyumba Kinauzwa Kigamboni

kiwanja Chenye Nyumba Kinauzwa Kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,088
Reaction score
2,174
Ukubwa:square mita 600
Eneo:Tungi/ Kigamboni/Dar Es salaam oposite na Shule Ya FRAY LUIS AMIGO kina leseni ya makazi

Bei:tsh 120,000,000 (Tshilingi Mil 120)

Mob: 0718295182 unaweza ncheki watsap pia ni rahisi zaid

Negotiate:Yes
Sifa:kisima/Fensi,/vyumba master 3 Vikubwa vya kisasa/sitting Room/dining/store/ Jiko/ Choo/gari linafka Kwa urahisi

13532936_149795358763421_8210504942501925733_n.jpg

13438809_149795365430087_4088697959721982104_n.jpg

13501848_149795362096754_3463597368841164169_n.jpg

BANGO
 
Attachments

  • Screenshot_2016-06-27-05-40-02.jpg
    Screenshot_2016-06-27-05-40-02.jpg
    49.3 KB · Views: 50
  • Screenshot_2016-06-27-05-40-43.jpg
    Screenshot_2016-06-27-05-40-43.jpg
    40 KB · Views: 43
Picha ya satellite kwenye hill duara ndo eneo lenyewe
 
Hv watu hujamaliza nyumba unataka mil 120 ukimaliza? Utataka ngapi? 600m?
Sijui ni shilling inashuka sana au watu wanataka kushika mil 100 kwa mwendokasi.
 
Hv watu hujamaliza nyumba unataka mil 120 ukimaliza? Utataka ngapi? 600m?
Sijui ni shilling inashuka sana au watu wanataka kushika mil 100 kwa mwendokasi.

Acha bangi mzee...umecheck size ya kiwanja?ni 600mX400m,it is a ranch literally...ni heka nyingi mno hapo
 
ingekuwa WAKATI uleeeeeeee sawa ningeku PM ila kwa sasa duuuh ! BORA nitafute ENEO la MIL.10 maana BAJETI yangu ni mil 50 tu.najua nitapata tu.
 
ingekuwa WAKATI uleeeeeeee sawa ningeku PM ila kwa sasa duuuh ! BORA nitafute ENEO la MIL.10 maana BAJETI yangu ni mil 50 tu.najua nitapata tu.
pole sana mkuu huu wakati mambo si mambo! ila wenye uhitaji wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom